Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi […]
TAASISI ya The Hope Campaign imetoa msaada wa vyakula na vifaa vya shuleni kwa Kituo cha Yatima Group Trust Fund cha Chamazi Temeke jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi […]