YGTF https://yatimagrouptrustfund.co.tz Yatima Group Trust Fund Sat, 11 May 2024 12:20:31 +0000 en-US hourly 1 https://wordpress.org/?v=6.6.1 KANISA LA YESU CHRISTO LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHO WAFANYA UKARABATI JENGO LA YATIMA GROUP TRUST FUND https://yatimagrouptrustfund.co.tz/2023/05/23/kanisa-la-yesu-christo-la-watakatifu-wa-siku-za-mwisho-wafanya-ukarabati-jengo-la-yatima-group-trust-fund/ https://yatimagrouptrustfund.co.tz/2023/05/23/kanisa-la-yesu-christo-la-watakatifu-wa-siku-za-mwisho-wafanya-ukarabati-jengo-la-yatima-group-trust-fund/#comments Tue, 23 May 2023 17:58:45 +0000 https://thememxpro.com/theme/sopot/?p=1171
IMG_0643
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafarijiIMG_0741
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakipaka rangi bweni la kituo cha watoto yatima cha yatima group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji
IMG_0685
Muhumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho Charles Nyamuhanga akikati kuni kwa mashine kwa ajili ya
watoto yatima wa group trust fund kilichopo mbagala chamanzi ambapo waumini hawo walitumia siku hiyo kufanya usafi wa mazingira mbalimbali ikiwemo kukata kuni pamoja na kucheza na watoto wanaoishi katika kituo hicho kama njia moja ya kuwafariji
IMG_0691
kuni zikikatwa
 
IMG_0719
Baadhi ya waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakimenya viazi kwa ajili ya kupika na watoto wa kituo cha Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam
IMG_0722
waumini wakinamama wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakijadiliana mambo mbalimbali
IMG_0732
Baadhi ya watoto yatima wanaoishi katika kituo hicho wakiimba na kucheza
 
 
IMG_0752
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa wamebeba kani kwa ajili ya shughuli za kituo cha watoto yatima cha
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam
 
IMG_0759
Watoto wa wahumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakicheza mpira wakati walipotembelea kituo cha watoto
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam
 
IMG_0772
Watoto wakicheza
IMG_0775
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Yesu Cristo la watakatifu wa siku za mwisho wakiwa katika picha ya pamoja walipo tembelea kituo cha
Yatima group trust fund cha mbagala chamanzi Dar es salaam.
]]>
https://yatimagrouptrustfund.co.tz/2023/05/23/kanisa-la-yesu-christo-la-watakatifu-wa-siku-za-mwisho-wafanya-ukarabati-jengo-la-yatima-group-trust-fund/feed/ 2
TAASISI YA THE HOPE CAMPAIGN YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA CHAMAZI https://yatimagrouptrustfund.co.tz/2023/05/23/taasisi-ya-the-hope-campaign-yatoa-msaada-kwa-watoto-yatima-chamazi/ https://yatimagrouptrustfund.co.tz/2023/05/23/taasisi-ya-the-hope-campaign-yatoa-msaada-kwa-watoto-yatima-chamazi/#respond Tue, 23 May 2023 17:56:29 +0000 https://thememxpro.com/theme/sopot/?p=1167
TAASISI ya The Hope Campaign imetoa msaada wa vyakula na vifaa vya shuleni kwa Kituo cha Yatima Group Trust Fund cha Chamazi Temeke jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi msaada huo kituoni hapo, Mratibu wa Taasisi hiyo Mpelo Kapama alisema msaada huo umelenga kuwasaidia watoto hao kwa ajili ya chakula na vifaa vya kusomea.
IMG_0291
Hapa ni kikosi kamili cha taasisi hiyo kabla ya kukabidhi msaada huo.

“Taasisi yetu kupitia kwa mwezeshaji wetu mkuu John Amigo imejijengea utamaduni wa kusaidia makundi mbalimbali yenye uhitaji kama watoto hao na kambi za ukimbizi na mara nyingi tumekuwa tukisaidia kituo hiki” alisema Kapama.

Katibu wa Kituo hicho cha Yatima, Fred George alisema ni muhimu kwa jamii kujitokeza kusaidia Yatima na kuwafariji kama ilivyofanya taasisi hiyo.

Alisema kituo hicho chenye watoto zaidi ya 150 kimekuwa na changamoto ya chakula, fedha za kuwalipa wafanyakazi pamoja na ujenzi wa uzio kwa ajili ya usalama.IMG_0236Mratibu wa Taasisi ya The Hope Campaign, Mpelo Kapama (kushoto), akiwaelekeza maofisa wenzake kabla ya kwenda kukabidhi msaada huo.
IMG_0246Mizigo ikitolewa kwenye gari.
IMG_0253Aman Issaya wa taasisi hiyo akiwa na kiroba cha sukari akielekea eneo la makabidhiano.
IMG_0256
Mratibu wa Taasisi ya The Hope Campaign, Mpelo Kapama, akiwa amebeba kiroba cha sukari wakati taasisi hiyo ilipotoa msaada wa vyakula na vifaa vya shuleni kwa Kituo cha Yatima Group Trust Fund cha Chamazi Temekie jijini Dar es Salaam leo.
IMG_0258
Vifaa hivyo viwekwa sawa kabla ya kukabidhi.
IMG_0264
Aman Issaya wa taasisi hiyo (kushoto), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Kituo hicho, msaada huo. Kulia ni Mratibu wa Taasisi ya The Hope Campaign, Mpelo Kapama na Furaha Kapama.
IMG_0269Furaha Kapama (kushoto), akimkabidhi msaada Katibu Mkuu wa Kituo hicho, Fred George.
IMG_0273
Upendo Kapama akikabidhi msaada huo.
IMG_0276 

Thomas Anzuluni akimkabidhi Katibu wa kituo hicho, Fred George msaada wa mafuta ya kula.
IMG_0280
Mwakilishi wa Taasisi ya The Hope Campaign, Stela Mpelo (kushoto), akiwakabidhi vifaa vya shule watoto Yatima wa Kituo cha Yatima Group Trust Fund cha Chamazi Temeke jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Ofisa wa taasisi hiyo, Thomas Anzuluni na Katibu wa kituo hicho, Fred George.
IMG_0285Aman Issaya wa taasisi hiyo (kushoto), na Katibu Mkuu wa Kituo hicho wakiwa wameshika mipira iliyotolewa na taasisi hiyo kwa watoto wa kituo hicho.
IMG_0300
Ni pozi la kukata na shoka na vipeperushi mkononi. Na Dotto Mwaibale
]]>
https://yatimagrouptrustfund.co.tz/2023/05/23/taasisi-ya-the-hope-campaign-yatoa-msaada-kwa-watoto-yatima-chamazi/feed/ 0