Malezi & Kituo
YGTF Chamazi • Kituoni
Malezi na Lishe Bora: Kuhakikisha Kila Mtoto Anapata Haki na Furaha
Kituo cha Yatima Group kinaendelea kutoa mazingira salama, elimu, na chakula cha kila siku kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu.